Tishio jipya la Trump dhidi ya Iran lafufua hofu ya vita mpya Ghuba ya Uajemi - BBC News Swahili
Wasiwasi umeongezeka baada ya Trump kutishia tena kuzindua "Operesheni Epic Fury nyingine ndogo" baada ya uchaguzi wa katikati ya muhula uliopangwa kufanyika Jumanne, akirejelea operesheni ya pamoja ya Marekani na Israel iliyoanza Februari 28.
Read more










